Habari Kitaifa

DKT. Hassan Abasi Azindua Tovuti ya MISA Tanzania Jijini Arusha

on

 

 Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abasi (wa kwanza Kulia) na  Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari (wa kwanza kushoto) wakizindua rasmi Tovuti ya MISA Tanzania inayopatikana hapa www.tanzania.misa.org
 Msemaji
Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abasi (wa kwanza Kulia) na  Mwenyekiti wa
MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari (wa kwanza kushoto)pamoja na wadau mbalimbali ambao hawapo pichani wakipata maelezo kuhusiana na Tovuti ya MISA Tanzania kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa Sengiyumva ambaye hayupo pichani.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa Sengiyumva (kulia) akiendelea kutoa maelezo mbali mbali na vitu ambavyo vinapatikana katika Tovuti ya MISA Tanzania.
 
 Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa Tovuti ya MISA Tanzania Jijini Arusha.

About Habari360_TZA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *