Habari Kitaifa

Dkt KALEMANI atua Mtwara Kukagua hali ya Upatikanaji Umeme

on

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani(mwenye miwani katikati),  leo Desemba 13, 2017 amewasili Mkoani Mtwara kutembelea Mitambo ya umeme ya kituo cha kufua umeme Mtwara (MW18), Mitambo ya kuchakata gesi ya Madimba , Miradi ya REA awamu ya 3 pamoja na mradi wa Makambako/ Songea.

Itakumbukwa mnamo Oktoba 16, 2017, Dkt. Kalemani alitembelea Mkoani humo na kujionea juhudi za ukarabati wa mashine za kufua umeme kwenye kituo cha kufua umeme Mtwraa (MW18) na kutoa maelekezo kadhaa ya kuharakisha ukarabati huo na kuahidi kuwa angefanya ziara nhyingine tena ili kuona utekelezaji wa maagizo yake.

 

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *