Burudani

Fetty Wap afata nyayo za watoto Wa Jay Z

on

Fetty Wap aamua kufuata nyayo za watoto wa Jay Z kwa kuliwekea hati Miliki ya Jina lake, kwamba pindi Kampuni, mtu akatumia jina la Fetty Wap basi mikono ya Sheria lazima ihusike.

Ripoti kutoka Tmz imefunguka kwamba, Fetty Wap ameamua kufanya hivyo ili kuzuia matumizi mabaya ya jina lake kwa watu wengine ambao watajaribu kujipatia faida kwa jina lake.

Tukirudi nyuma, rapper Comommon zamani alikuwa anafahamika kama Common Sense kabla ya bendi moja hivi inayofahamika kama SKA, kumfungulia mashitaka kwa kutumia jina hilo kipindi cha 90, ambapo baada ya ishu hiyo akabaki kulitumia jina lake la Common.

About Filbert Yudatade

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *