Viwanjani

Mawaziri Ummy na Makamba Washuhudia Mechi Baina ya Coastal na Polisi Dar

on

WAZIRI UMMY,MAKAMBA WASHUHUDIA MECHI BAINA YA COASTAL UNION NA POLISI
DAR ZIKITOKA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira
na Muungano Mhe. January Makamba
akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal
Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini
Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao
1-1.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira
na Muungano  January Makamba
kulia akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya
Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani
mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao
1-1.kushoto ni Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union Steven
Mguto
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
katika akishiriki kwenye uhamasishaji wa nyimbo wakati timu ya Coastal
Union ilipocheza na Polisi Dar kwenye mchezo uliomalizika kwa timu hizo
kutoka sare ya kufungana bao 1-1.

 

 

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
katikati akitokea kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mara baada ya
kumalizika kwa mchezo huo

 

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira
na Muungano  January Makamba akizungumza na timu zote mbili
kabla ya kuanza mchezo huo leo.
 Waachezaji wa timu zote
mbili wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo huo
 Kikosi cha timu ya
Coastal Union ambacho kimeanza dhidi ya Polisi dar leo
 Kikosi cha timu ya Polisi
Dar ambacho kimecheza dhidi ya Coastal Union leo
 Mchezaji wa timu ya Coastal Union
kushoto akiwani mpira dhidi ya wa Polisi Dar katika mchezo wa Ligi
daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga
na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.

About Habari360_TZA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *