Videos

Mbunge JOSHUA NASSARI atishia Kujiuzulu Nafasi ya Ubunge Wake

on

Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki mkoani arusha Joshua Nassari amewaahidi Watanzania kujiuzulu nafasi yake ya ubunge endapo ushahidi wa suala la kujiuzulu kwa madiwani mkoani arusha utakaliwa katika uongozi wa juu.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini, Nassari amebainisha kuwa amekuwa kimya kwa muda mrefu zaidi huku akifanya uchunguzi kubaini sababu zinazo pelekea madiwani na wenyeviti wa chama hicho kujiuzulu nafasi zao kama avyo eleza zaidi….

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *