Habari Kitaifa

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj ABDALLAH BULEMBO aendelea na Ziara

on

 

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akivishwa vazi la heshima la Kabila la Wasukuma alipowasili wilayani Bukombe, Anayemvisha ni Mzee wa Bukombe, Hakim Mstaafu Joseph Bulugu.

Alhaj Abdallah Bulembo akishukuru baada ya kupewa heshima hiyo.

 Alhaj Bulembo akiwasili ukubini kuongoza kikao cha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bukombe, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuia za Chama, Mabalozi na watendaji wa Serikali.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akijadili jambo na Mbunge wa Bukombe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Geita Doto Biteko wakati wa kikao hicho.

 Wajumbe ukumbini wakati wa kikao hicho.

Mbunge wa Bukombe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Geita Doto Biteko akisalimia baada ya kutambulishwa kwenye kikao hicho, Kushoto ni Alhaj Bulembo na Kulia ni Butachage.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Bukombe, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuia za Chama, Mabalozi na Watendaji wa Serikali.

 

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *