Habari Kitaifa

Ndugulile Afungua Kituo cha Kutoa Huduma Shufa (ONE STOP CENTRE) Mkoani Shinyanga

on

Afisa Ustawi wa Jamii Bw. Adlurahaman Kibakaya akisoma taarifa ya Kituo cha kutoa Huduma Shufa (One Stop Centre) cha Wilaya ya Kahama kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho cha kutolea Huduma kwa waathirika wa vitendo vya ukatili wa Kijinsia.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akipokea taarifa ya Kituo cha kutoa Huduma Shufa (One Stop Centre) kutoka kwa Afisa ustawi wa Jamii Bw. wa Wilaya ya Kahama wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akifungua kitambaa kuashiria kuzindua Kituo cha Kutolea Huduma Shufa (One Stop Centre) kilichopo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga kinachotoa huduma kwa waathirika wa vitendo vya ukatili wa Kijinsia.

About Habari360_TZA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *