Habari Kitaifa

TAARIFA YA KUREJEA KWA UMEME MKOA WA TEMEKE

on

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke tunawataarifu Wateja wetu kuwa baada ya hitilafu iliyotokea kwenye kituo cha kupooza na kusambaza umeme cha chang’ombe  Jitihada kubwa zimefanywa na wataalamu wetu wa umeme na kufanikiwa kutatua hitilafu hiyo na  umeme umerudi saa 05:38 asubuhi.

Wateja wetu wa kigamboni na uwanja wa taifa sasa wanapata umeme 

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu  wowote uliojitokeza

Kwa mawasiliano toa taarifa kupitia,

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO

 TANESCO MAKAO MAKUU 

JANUARI 06, 2018

 

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *