Habari Kitaifa

TANESCO yatahadharisha Wananchi Kutosogelea Miundo Mbinu ya Umeme

on

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa tahadhari kwa Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuwa, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu kuchukua tahadhari kwa.

Kutokufanya shughuli za Kibiashara karibu na miundombinu ya umeme.

Kutokaa karibu au katika Miundombinu ya umeme.

Kutokufanya shughuli za Kilimo katika miundombinu ya umeme.

Kutokugusa nyaya zilizoanguka.

Tafadhali usisogelee, usishike waya au nguzo zilizoanguka.

Tafadhali tusaidie kutupatia taarifa ya hitilafu au tatizo lolote la umeme kupitia mawasiliano yafuatayo,

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU

JANUARI 08, 2018

 

About Habari360_1

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *