Habari Kitaifa

TBA Yatakiwa Kuongeza Kasi Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dodoma

on

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume
Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wamefanya ziara ya kutembelea
eneo la mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Tume eneo la Njedengwa mkoani
Dodoma kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi hizo.

Ujenzi huo unafanywa na Wakala wa Majengo nchini (TBA) na kusimamiwa
na Chuo Kikuu cha Ardhi.

Kufuatia ziara hiyo Wajumbe wa NEC wameonesha kutoridhishwa na Kasi ya
ujenzi ya Mkandarasi anayejenga ofisi hizo (TBA) na kutoa wito kwa
mkandarasi huyo kukamilisha ujenzi huo kwa wakati.

About Habari360_TZA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *