Uchumi Zone

TPA Tanga yaibuka Mshindi kwa Taasisi za Kiserikali Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa

on

Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga kushoto akimkabidhi Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za serikali zilizoshiriki maonyesho ya  biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakifanyika Jijini Tanga na kumalizika hivi karibuni.

Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akiwa na kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za Serikali zilizoshiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakifanyika Jijini Tanga akiwa na watumishi wa Bandari hiyo.

About Habari360_TZA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *