Uchumi Zone

TPA Yafungua Ofisi Rwanda

on

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA), iliyofunguliwa Nchini Rwanda.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) na Waziri,  Ofisi ya Raisi anayeshughulika na Uchukuzi Nchini Rwanda Jean De Dieu UWIHANGANYE (kulia), wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) nchini Rwanda.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akisaini kitabu cha wageni mara baada ya uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) Nchini Rwanda.

About Habari360_TZA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *