Habari Kitaifa

Utumushi Yaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Jijini Dodoma

on

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Dodoma kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa  maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika jukwaa kuu Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.

Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.

About Habari360_TZA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *